iqna

IQNA

SURA ZA QURANI
Sura za Qur'ani Tukufu /111
TEHRAN (IQNA) - Kumekuwepo na visa vya kuvunjiwa heshima kwa Qur'ani Tukufu katika nchi za Magharibi katika mwezi wa hivi karibuni, na kusababisha malalamiko na hasira miogoni mwaWaislamu duniani kote.
Habari ID: 3477540    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/03

Sura za Qur'ani Tukufu / 105
TEHRAN (QNA) – Miezi michache kabla ya kuzaliwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW), mfalme wa wakati huo wa Yemen alitaka kuiangamiza Ka’aba Tukufu lakini Mwenyezi Mungu alidhihirisha uwezo wake kwa njia ya muujiza na akazuia hilo lisitokee. Hayo ni kwa mujibu wa Sura Al- Fil katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477426    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/12

Sura za Qur’ani Tukufu /69
TEHRAN (IQNA) – Al-Haqqah ni miongoni mwa majina ya Siku ya Hukumu au Siku ya Kiyama. Inamaanisha kitu ambacho ni hakika, kilichoamuliwa na chenye uhakika. Sura inawaonya wale wanaoikadhibisha Siku ya Kiyama na inaonesha hali yao siku hiyo.
Habari ID: 3476806    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/03

Sura za Qur'ani Tukufu / 63
TEHRAN (IQNA)-Wakati watu wanaotafuta ukweli na watu watukufu wanapoonyesha njia sahihi kwa watu, kuna baadhi ambao wanahisi maslahi yao yanatishiwa. Inavyoonekana wanakubali mabadiliko na maendeleo yaliyoletwa lakini mioyoni mwao, wanatafuta kuunda upotovu kwenye njia.
Habari ID: 3476628    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/26

Sura za Qur'ani Tukufu /44
TEHRAN (IQNA) – Ukweli wa kila kitu uko wazi na dhahiri lakini wengine wanakanusha kwa sababu mbalimbali, kama vile kuepuka tishio kwa maslahi yao binafsi au ya kikundi.
Habari ID: 3476188    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/03

Sura za Qur’ani Tukufu /20
TEHRAN (IQNA) – Moja ya hadithi zilizotajwa katika Sura tofauti za Qur’ani Tukufu ni ile ya Nabii Musa (AS).
Habari ID: 3475951    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18

Sura za Qur'ani Tukufu /25
TEHRAN (IQNA) – Kuna mahali karibu na Denmark ambapo bahari mbili huunda mandhari ya kuvutia. Eneo moja kuna maji ya chumvi na nyingine maji matamu. Kwa sifa zao tofauti, bahari mbili hazichanganyiki kana kwamba kuna kizuizi kati yao.
Habari ID: 3475622    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/14

Sura za Qur'ani Tukufu /19
TEHRAN (IQNA) – Bibi Maryam, mama yake Nabii Isa (AS), ametajwa ndani ya Qur'ani Tukufu kuwa ni mwanamke mwema aliyetakasika, ambaye hakuwa mtume bali alilelewa kama nabii na ambaye mwenendo wake ulikuwa kama ule wa Mitume wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475521    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/21

Sura za Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) – Hadithi za Nabii Musa (AS) zimesimuliwa katika sura tofauti za Qur’an, ikiwa ni pamoja na Sura Al-Isra, ambamo miujiza 9 ya Mtume huyo wa Mwenyezi Mungu imetajwa.
Habari ID: 3475483    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/10

Sura za Qur'ani / 10
TEHRAN (IQNA) – Sehemu za aya za Qur’ani zina visa vya Mitume wa Mwenyezi Mungu na makabiliano yao na wale wanaoikadhibisha dini na maamrisho ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475431    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/27

Sura za Qur'ani Tukufu /12
TEHRAN (IQNA) – Kisa cha Nabii Yusuf (AS) katika Qur’ani Tukufu kimejaa mengi kuhusu magumu ambayo aliyapitia kwa subira na imani na kufanikiwa kupata hadhi ya juu.
Habari ID: 3475421    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/24

Sura za Qur'ani /9
TEHRAN (IQNA) – Sura zote ndani ya Qur’ani Tukufu zinaanza na sentensi “Kwa Jina la Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu” (Bismillah Ar-Rahman Ar-Raheem) isipokuwa Sura At-Tawbah.
Habari ID: 3475414    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23

Sura za Qur'ani Tukufu / 4
TEHRAN (IQNA) – Nafasi ambayo mwanamke anayo katika jamii na familia ni miongoni mwa masuala muhimu katika Uislamu. Dalili ya umuhimu huu inaweza kuonekana katika Sura ya nne ya Qur'ani Tukufu kama ilivyowekwa wakfu kwa wanawake.
Habari ID: 3475355    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09

Surah za Qur'ani / 7
TEHRAN (IQNA)- Mawazo na nadharia tofauti zimeelezwa kuhusu uumbaji wa mwanadamu na ulimwengu, lakini kwa mtazamo wa Kiislamu, Mwenyezi Mungu aliumba ulimwengu mzima na wanadamu katika kipindi fulani na wakati maalum; Kwa mujibu wa Uislamu, mwanadamu ameweka agano na Mwenyezi Mungu kabla ya kuumbwa awe khalifa au mrithi wa Mwenyezi Mungu katika ardhi.
Habari ID: 3475339    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/05